Ruka hadi maudhui

Hali ya majaribio: rekodi zenye alama ya "Mfano" ni za kujaribu muundo tu, si taarifa rasmi.

TANCCOOPSLTD Cotton Co-operatives Joint Enterprise

Biashara na Huduma

Ushauri Elekezi na Taarifa

Kutoa ushauri elekezi na taarifa sahihi na kwa wakati kwa wanachama na wadau.

Huduma hii inajumuisha

  • Huduma za ushauri elekezi kwa vyama wanachama
  • Taarifa zinazohusiana na shughuli za TANCCOOPS
  • Kuongeza tija na ubora wa mazao

Taratibu na gharama

Kwa taratibu, gharama na utaratibu wa kupata huduma hii, wasiliana na ofisi ya makao makuu. Maelezo rasmi yatachapishwa hapa.

Huduma nyingine

Usindikaji na Uhifadhi

Kuhifadhi na kuchakata mazao, pamoja na kuendesha majengo, mitambo na viwanda.

Fahamu zaidi

Pembejeo na Zana za Kilimo

Kununua, kuhifadhi, kuchakata na kusambaza pembejeo na zana za kilimo kwa vyama na wakulima.

Fahamu zaidi