Huduma hii inajumuisha
- Kupokea na kukusanya pamba mbegu kutoka vyama wanachama
- Kuuza bidhaa za kilimo na maliasili za vyama wanachama
- Kuongeza idadi na kiwango cha bidhaa katika soko la mazao ya kimkakati
Hali ya majaribio: rekodi zenye alama ya "Mfano" ni za kujaribu muundo tu, si taarifa rasmi.
Biashara na Huduma
Kupokea, kukusanya na kuuza pamba mbegu na bidhaa za vyama wanachama.
Kwa taratibu, gharama na utaratibu wa kupata huduma hii, wasiliana na ofisi ya makao makuu. Maelezo rasmi yatachapishwa hapa.
Kuhifadhi na kuchakata mazao, pamoja na kuendesha majengo, mitambo na viwanda.
Fahamu zaidiKununua, kuhifadhi, kuchakata na kusambaza pembejeo na zana za kilimo kwa vyama na wakulima.
Fahamu zaidiUchukuzi na usafirishaji wa mazao, zana na pembejeo za kilimo.
Fahamu zaidi