Ruka hadi maudhui

Hali ya majaribio: rekodi zenye alama ya "Mfano" ni za kujaribu muundo tu, si taarifa rasmi.

TANCCOOPSLTD Cotton Co-operatives Joint Enterprise

Kuhusu TANCCOOPS

Dira na Dhima

Kauli rasmi za mwelekeo wa TANCCOOPS LTD.

Dira

“Kuwa na Ushirika wenye wanachama walio na nguvu kiuchumi kutokana na fursa za kilimo na maliasili zilizopo ndani ya Mikoa inayozalisha Pamba.”

Dhima

“Kuwezesha shughuli za vyama wanachama kwa kutoa huduma bora za kukusanya, kusindika, kuuza bidhaa za kilimo na maliasili, kutoa ushauri elekezi na kutoa taarifa sahihi na kwa wakati kwa wanachama na wadau.”

Madhumuni ya Mradi

Madhumuni ya Mradi ni kukuza na kustawisha matakwa na hali ya kiuchumi ya wanachama kwa kupanga, kusimamia na kuboresha shughuli za maendeleo ya kilimo cha pamba na wanachama wao kwa kuzingatia misingi na matakwa ya ushirika.

Madhumuni na Malengo

Lengo kuu la kuanzishwa

“Kuimarisha maendeleo ya wakulima wa pamba kupitia mfumo wa Ushirika wenye nguvu, uwazi na tija katika upatikanaji wa pembejeo, uzalishaji, uuzaji na usimamizi wa zao la pamba nchini.”

Chanzo: nyaraka rasmi za TANCCOOPS LTD.

Kuhusu TANCCOOPS

Maadili Yetu ya Msingi

Misingi saba inayoongoza jinsi tunavyowatumikia wanachama na wadau.

  • Kufanya kazi kama timu
  • Uwajibikaji
  • Mtazamo kwa wateja
  • Uwazi
  • Utaalamu
  • Uaminifu
  • Kujitolea