Uongozi
Muundo wa Uongozi wa TANCCOOPS
Mgawanyo wa mamlaka kuanzia Mkutano Mkuu wa Mwaka hadi idara na vitengo.
Chagua sehemu yoyote ya muundo kuona maelezo yake.
Chanzo: nyaraka rasmi za TANCCOOPS LTD.
Uongozi
Bodi ya Uongozi
Bodi ya uongozi inaundwa na jumla ya wajumbe watano (5) kutoka vyama wanachama.
- LL Leonard W. Lyabalima Mwenyekiti
- NC Naomi M. Chaba Makamu Mwenyekiti
- JN Joseph M. Ngelya Mjumbe wa Bodi
- NL Ndaro M. Lubunda Mjumbe wa Bodi
- LM Limbu H. Maduhu Mjumbe wa Bodi